Foreign Music

NAOGOPA LYRICS Ft Harmonize — citiMuzikDOWNLOAD MP3

Marioo – NAOGOPA LYRICS Ft Harmonize

Ye ye
Mmmh aaah aahhh
Sounds by abbahaaa

Kwetu si tunasherehe, ya mapenzi
Sio makasiriko ahaaaa
Kwetu ni fuhara tele, maana mapenzi
Sio makasiriko mmmmhh
Hata kama tukishindia tembele, ooh my love
Baba mwenye nyumba kodi apige kelele, ooh my love
Hata kama tunapanda dala dala nawe my love
Et chetu chumba kina mavyombo tele inahusu
Wala sidhani kama hunipendi
Ila nawaza usipokuwepo ntaishije eeh
Mwenzako najua kamaa unanipenda umeniweka moyoni
Ila nawaza usipokuwep ntaishije ndo ninaogopa
Aah aah aaaahh naogopa
Aah aah aaaahh naogopa
Aah aah aaaahh naogopa
Aah aah aaaahh naogopa
Aah aah aaaahh naogopa

Hivi hushangai napendwa ila sura bado inakosa nu
Yani najiona sipo huru napagawaa
Siku sinavyozidi kwenda
Najina kabisa ntakufuru, maana naishi ka kungur
Kutwa kujificha mbawaa
Ridhiki yangu a papatu papatu
Mara ,ilipe vikoba upatu
Vipi ukija kutamani vya watu mimi si utaniacha
Ukiachilia mbali mashindar wanaonizidi pesa muoneka
Si lazima nikutajie mifano, niahidi kama utayaweza mapambano
Icho ndo kinanina mawaza nikipost biashara matangazo
Sintaweza kukuechunga mbele za wenye mipung
Mmh mmmh mmmh child
Abeee
What can I do?
Child, I’ll by no means allow you to fo and I would like you extra
Oh wooh wooh wooh child
Abeee
What can I do?
Child, I’ll by no means allow you to fo and I would like you extra

Mwenzakoo aaah
Aah aah aaaahh naogopa
Kweli mwenzako naogopa
Baisi koito change ongez choto
Aah aah aaaahh
Maana wasije nichoma mbuki wa moyo
Aah aah aaaahh naogopa
Na na na na hello

Konde boy name me numbo one bahkresa
Aah aah aaaahh naogopa

Additionally, test extra tracks from Marioo;Back to top button